BBC News

Copyright British Broadcasting Corporation 2008. BBC haiwajibiki Kwa yale yalioandikwa kwenye kurasa za mtandao wa kampuni nyingine
Updated: 14 hours 49 min ago
Shambulio la shule Gaza laua watu 40
Taarifa za kitabibu upande wa Palestina zimesema takriban watu 40 wameuawa kufuatia shambulio la ndege za kijeshi za Israel katika shule moja inayoendeshwa na Umoja wa Mataifa katika eneo la Ukanda wa Gaza.
Categories: Headlines
Wanajeshi Guinea wasema uchaguzi mwaka huu
Afisa mmoja mwandamizi wa Ufaransa amesema kiongozi wa kijeshi wa Guinea ameahidi kufanya uchaguzi mwaka huu wa 2009 - ikiwa ni mwaka mmoja kabla alivyoahidi awali.
Categories: Headlines
BBC Ulimwengu wa Soka
Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Jumamosi 10 Januari itakutangazia mechi ya Arsenal na Bolton.
Categories: Headlines



